Back to home
Kiambu yakanusha madai ya vifo vya kina mama na watoto wachanga kutokana mgomo wa madaktari
video
C
Citizen TV (Youtube)October 8, 2025
3h ago
Kaunti ya Kiambu imekana madai kwamba kina mama na watoto wachanga wanapoteza maisha kutokana na mgomo wa madaktari unaoendelea. Kauli hii ya kaunti ya Kiambu ikijiri huku baadhi ya kina mama waliodai kuwapoteza watoto wakizungumzia masaibu yao