Back to home
Ubunifu wa kilimo wapamba maonyesho ya biashara ya kimataifa Nairobi
video
C
Citizen TV (Youtube)October 8, 2025
2h ago
Maonyesho ya Kimataifa ya Biashara ya Nairobi yaliyokamilika wiki iliyopita yalisheheni ubunifu na teknolojia mbalimbali za kuimarisha kilimo. Mojawapo ya ubunifu uliopata umaarufu ni Trekta yenye uwezo wa kuwapunguzia wakulima wadogo gharama ya uzalishaji. Teknolojia za kisasa z