Back to home

Gavana wa Kiambu aeleza utendakazi wake wa miaka mitatu

video
C
Citizen TV (Youtube)
October 9, 2025
3h ago
Gavana wa Kiambu Kimani Wamatangi ameonyesha mafanikio yake baada ya miaka mitatu ofisini, akitaja afya, elimu na kilimo kuwa sekta bora zaidi.