Back to home

Wafadhili watoa msaada wa vitabu kupiga jeki elimu ya CBE

video
C
Citizen TV (Youtube)
October 9, 2025
4h ago
Baadhi ya shule katika Kaunti ya Trans Nzoia zimepata ahueni kubwa baada ya kupokea vitabu vipya vitakavyosaidia katika utekelezaji bora wa mfumo wa CBE.