Back to home
Wafanyabiashara wa mchanga wajenga shule ya Maviani
video
C
Citizen TV (Youtube)October 9, 2025
4h ago
Wafanyabiashara wa mchanga katika kaunti ya Kitui wamesaidia wakazi wa Tiva kujenga shule ya msingi ya maviani eneo bunge la Kitui ya kati,kama njia moja ya kuleta maendeleo na kuinua jamii.