Back to home

Serikali yatoa zaidi ya ksh.2.4b za mpango wa Inua Jamii

video
C
Citizen TV (Youtube)
October 9, 2025
4h ago
Serikali imetoa jumla ya shilingi bilioni 2.4 kwa zaidi ya walengwa milioni 1.2 chini ya mpango wa inua jamii. Katibu katika idara ya ulinzi wa jamii, joseph m. Motari, amesema fedha hizo zinalenga kupunguza umaskini na kuboresha maisha ya wananchi wasiojiweza. Ameongeza kuwa zai