Back to home

Gavana Fatuma Achani azungumza na vijana walioasi uhalifu Kwale

video
C
Citizen TV (Youtube)
October 9, 2025
4h ago
Gavana wa kaunti ya Kwale Fatuma Achani amefanya mazungumzo na vijana walioasi uhalifu kutoka huko diani pamoja na idara ya usalama eneo la Msambweni.Mkutano huo unajiri wakati vijana kutoka maeneo ya Tiwi,Kombani , Diani Waa na Ng'ombeni wamekuwa wakihangaisha wakazi kwa kuwavam