Back to home

Hali tete Baringo baada ya Gideon Moi kujiondoa kwenye kinyang’anyiro cha useneta

video
C
Citizen TV (Youtube)
October 9, 2025
4h ago
Hali tete ilishuhudiwa leo kaunti ya Baringo, wafuasi wa mwenyekiti wa chama cha KANU Gideon Moi wakiandaa maandamano, baada ya Moi kujiondoa kwenye kinyang’anyiro cha useneta wa kaunti hiyo. Hatua ya Gideon Moi, imejiri saa chache tu baada ya mkutano wake na Rais William Ruto