Back to home

Madalali wavamia boma la mbunge Jane Kihara, wabeba gari na mifugo

video
C
Citizen TV (Youtube)
October 9, 2025
4h ago
Madalali hii leo walifumania boma la mbunge wa Naivasha Jane Kihara na kuchukua vitu mbali mbali ikiwemo gari na mifugo