Back to home

Kamati ya elimu ya seneti yazuru shule kadhaa kaunti ya Busia

video
C
Citizen TV (Youtube)
October 10, 2025
4h ago
Kamati ya elimu katika bunge la seneti imefichua utepetevu wa hali ya juu katika sekta ya elimu kaunti ya busia baada ya kuzuru shule tofauti za chekechea na vituo vya mafunzo anuai katika kaunti hiyo. Kamati hiyo ikiongozwa na seneta wa kuteuliwa betty montet imebaini uozo wa ha