Back to home
Uchaguzi mdogo katika eneo bunge la Malava wavutia wagombeaji tisa
video
N
NTV Kenya (Youtube)October 10, 2025
5h ago
Uchaguzi mdogo wa ubunge eneo bunge la Malava umevutia wagombeaji tisa ambao walikabidhiwa vyeti na tume ya kusimamia uchaguzi huo eneo la Malava na kilichosalia sasa kikiwa ni kuelekea kwa wananchi ili kuomba na kuwarai kuwapigia kura.
Subscribe and watch NTV Kenya live for l