Back to home
Kinara wa GTAP Dkt. Isaac Kalua ahimiza Wakenya kupanda miti
video
C
Citizen TV (Youtube)October 10, 2025
4h ago
Kenya inapoadhimisha siku ya mazingira leo hii, kinara wa chama cha Green Thinking Action (GTAP) daktari isaac kalua amehimiza upanzi wa miti unaoambatana na miaka ya mtu ili kuafikia malengo ya miti kama alivyoahidi rais.