Back to home
Wanandoa Joseph Omido na mkewe Margaret walioaga kwenye ajali ya barabara wazikwa Bungoma
video
N
NTV Kenya (Youtube)October 10, 2025
2h ago
Huzuni na simanzi ilitanda katika kijiji cha Ndalu, kaunti ya Bungoma, wakati wa mazishi ya wanandoa mhandisi Joseph Omido na mkewe Margaret, afisa wa Benki Kuu ya Kenya (CBK), ambao maisha yao yalikatizwa ghafla katika ajali mbaya ya barabarani iliyowaua wawili hao.
Subscribe