Back to home
EACC yauza jumla ya majumba matano yaliyokuwa yakimilikiwa na gavana wa zamani Okoth Obado
video
N
NTV Kenya (Youtube)October 10, 2025
4h ago
EACC imeuza jumla ya majumba matano yaliyokuwa yakimilikiwa na Gavana wa Zamani WA Kaunti ya Migori Okoth Obado na Aliyekuwa mkuu wa Kitengo cha hazina katika Kaunti ya Nairobi Stephen Ogaga Osiro.
Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the