Back to home
Iebc yatamaushwa na idadi ndogo ya wapigakura wapya kajiado
video
C
Citizen TV (Youtube)October 13, 2025
2h ago
Licha ya eneo bunge la Kajiado Mashariki kuwa mwenyeji wa uzinduzi rasmi wa shuguli ya kuwasajili wapiga kura wpya nchini hadi sasa ni wapiga kura 53 pekee ndio wamesajiliwa, huku idadi ndogo ya wanaojitokeza ikizidi kushuudiwa.
Wakizungumza wakati walisimamia uchaguzi wa wanafun