Back to home

Wakazi wa Nyamira wataka IEBC kuanzisha vituo tamba

video
C
Citizen TV (Youtube)
October 13, 2025
2h ago
Baadhi ya vijana kutoka eneo la Gusii wamesema mwendo mrefu kutoka nyumbani kwenda vituoni vya kusajiliwa kuwa wapigakura umechangia idadi ndogo ya Wakenya wanaojitokeza kusajiliwa.