Back to home
Ukeketaji na ndoa za mapema zaathiri elimu ya msichana Samburu
video
C
Citizen TV (Youtube)October 13, 2025
3h ago
Mila komavu zilizopitwa na wakati kama vile kuwaoza watoto wa kike mapema na ukeketaji, zinazidi kulemaza Juhudi za watoto wa kike kuafikia Ndoto zao katika kaunti ya Samburu. Wadau wakitaka watoto wa kike kupelekwa shuleni ili kukiuka viunzi hivyo vya Mila potovu