Back to home
Mbio za ngamia Maralal kaunti ya Samburu
video
C
Citizen TV (Youtube)September 26, 2025
2h ago
Makala ya thelathini mbili ya mashindano ya kimataifa ya Ngamia yamezinduliwa Leo rasmi kwenye Kaunti ya Samburu na waziri wa utalii nchini Rebecca Miano na kuwavutia washirika wa kimataifa pamoja na wenyeji. Mwanahabari wetu Bonface Barasa anaarifu zaidi kutoka Samburu.