Back to home
Mashindano ya kimataifa ya ngamia Maralal
video
C
Citizen TV (Youtube)September 12, 2025
2h ago
Mashindano ya kimataifa ya Ngamia maarufu "Maralal international Carmel Derby" ambayo huandaliwa Kila mwaka katika kaunti ya Samburu,yamekuwa kigezo kikuu katika kueneza amani na uwiano miongoni mwa jamii za wafugaji kaskazini mwa nchi.