Back to homeWatch Original
Maonyesho ya kimataifa ya biashara yatafanyika Nairobi
video
August 29, 2025
3h ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Maonyesho ya Kimataifa ya Biashara ya Nairobi yatafanyika kuanzia Septemba 29 hadi Oktoba 5 katika uwanja wa Jamhuri Park, yakiwa na kauli mbiu “Kukuza Kilimo na Biashara Rafiki kwa Mazingira kwa Ajili ya Ukuaji Endelevu wa Uchumi.”..