Back to home
Rais wa Marekani anaongoza makubaliano ya amani Israel
video
C
Citizen TV (Youtube)October 13, 2025
3h ago
Rais wa Marekani Donald Trump amewasili Israeli kuongoza makubaliano ya amani Gaza kufuatia makubaliano ya kusitishwa kwa mashambulizi yaliyokuwa yakifanywa na Israeli.