Back to home

Seneta wa Trans Nzoia azindua mchuano wa soka kuhamasisha vijana katika usajili wa kura

video
C
Citizen TV (Youtube)
October 13, 2025
3h ago
Vijana katika kaunti ya Trans Nzoia wamehimizwa kuchukua fursa ya kujiandikisha kuwa wapigwa kura.