Back to home
Kindiki asema serikali ya Kenya Kwanza itaendelea kushirikiana na viongozi wa upinzani
video
N
NTV Kenya (Youtube)October 13, 2025
2h ago
Naibu rais Kithiure Kindiki amesema serikali ya Kenya Kwanza itaendelea kujadiliana na viongozi kutoka upinzani, wenye maono sawa ya kuliunganisha taifa na kuwahudumia wakenya. #NTVAdhuhuri
Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by