Back to home
| Tafakari ya Babu | Namtafuta mama yao
video
C
Citizen TV (Youtube)October 13, 2025
17h ago
Ananiambia babu yangu kuhusu kisa cha bwana mmoja aliyekwenda sehemu moja ambapo lugh hazielewani... huyu bwana ana njaa akaingia hotelini kutaka kula...alipokaa tu waiter akamjia, mtoto mrembo wa kike...alipoulizwa alichotaka, akamuita waiter kwa ishara akazunguuka naye kila mez