Back to home

Sherehe za bahari yetu zaandaliwa kisiwani Shela, Lamu

video
C
Citizen TV (Youtube)
October 14, 2025
3h ago
Zaidi ya asilimia 60 ya wakazi wa Lamu hutegemea bahari Kwa uvuvi,usafiri Na utalii . lakini katika Siku za hvi Karibuni kumeshuhudiwa uchafuzi mkubwa wa bahari Jambo liliowatia wasiwasi washikadau na wakazi wa Lamu.