Back to home

Vifo na majeruhi waripotiwa baada ya vurumai Kasarani wakati wa kutazama mwili wa Raila Odinga

video
C
Citizen TV (Youtube)
October 16, 2025
3h ago
Watu kadhaa wameripotiwa kufariki huku wengine wakiwachwa na majeraha kufuatia vurumai lililozuka wakati wa shughuli ya kutaza mwili wa aliyekuwa waziri mkuu Raila Odinga katika uwanja wa Kasarani. Shughuli hii iligeuka kuwa fujo kwa muda, baada ya umati wa wakenya kujitokeza kwa