Back to home
Shughuli ya kumpa Raila heshima za kijeshi yatibuka JKIA, Rais Ruto asimpokee licha ya kuwepo.
video
C
Citizen TV (Youtube)October 16, 2025
2h ago
Shughuli ya kumpa heshima za kijeshi aliyekuwa waziri mkuu Raila Odinga ilitibuka leo katika uwanja wa ndege wa Jomo Kenyatta, wananchi wakivuruga shughuli pindi tu mwili wake ulipotolewa kwenye ndege. Rais William Ruto hakupokea mwili huo wa Odinga katika uwanja huo, licha ya ku