Back to home
Heshima za Mwisho za mwendazake Raila Odinga
video
C
Citizen TV (Youtube)October 18, 2025
17h ago
Aliyekuwa waziri mkuu mwendazake Raila Odinga alianza safari yake ya mwisho kutoka nairobi mapema asubuhi ya Jumamosi, mwili wake ukisafirishwa kutoka makafani ya Lee hadi kituo cha jeshi la angani cha Embakasi. Marehemu Raila akisafirishwa hadi Kisumu kwa ndege maalum, iliyoondo