Back to home

Taratibu za mazishi zinazoandamana na jamii ya waluo

video
C
Citizen TV (Youtube)
October 18, 2025
17h ago
Licha ya kuwa mazishi ya hayati Raila Odinga kuwa ya kitaifa, safari yake ya mwisho ilisheheni mbwembwe na taratibu zinazoandamana na jamii ya waluo. Kuanzia kutangazwa kwa kifo chake, kutambuliwa kwa mahali ambako kaburi lake linachimbwa, maombolezo, kunadhifishwa na kwa nyum