Back to home

Jumla ya watu watano walifariki katika uwanja wa Kasarani na ule wa Nyayo

video
C
Citizen TV (Youtube)
October 18, 2025
2d ago
Jumla ya watu watano walifariki katika uwanja wa Kasarani na ule wa Nyayo siku ya Alhamisi na Ijumaa wakati wa kuutazama mwili wa mwendazake Raila Odinga. Tayari familia nne zimetambua miili ya wapendwa wao huku zaidi ya watu ishirini wakiripotiwa kujeruhiwa.

More on this topic

Multiple Deaths from Stampede and Shooting Reported at Nyayo and Kasarani Stadiums - October 2025

A total of five people died at Kasarani Stadium and Nyayo Stadium during public mourning events. At Nyayo National Stadium, a tragic stampede resulted in two deaths and numerous injuries as thousands gathered to view the body of the late former Prime Minister. Separately, a fatal scuffle at Moi International Sports Center, Kasarani, resulted in at least three confirmed deaths after people were shot. Following the shooting, the families of the Kasarani victims are demanding justice. Already, four families have identified the bodies of their loved ones from the incidents at the two stadiums.

4 stories in this topic
View Full Coverage