Back to home
Uhuru na Obasanjo waomboleza Raila, wamwelezea kama nembo ya upendo na uthabiti wa Afrika
video
C
Citizen TV (Youtube)October 19, 2025
4h ago
Rais mstaafu Uhuru Kenyatta na mwenzake mstaafu wa Nigeria Olusegun Obasanjo wamemuomboleza Raila Odinga kama kiongozi shupavu wa bara Afrika aliyeshikilia kwa karibu jukumu la kubadilisha bara zima. Obasanjo aliyehusika pakubwa katika juhudi za amani baada ya chaguzi kuu zilizoz