Back to home

Gavana wa Nandi ,Stephen Sanga asema muungano wa kisiasa hauta yumba

video
C
Citizen TV (Youtube)
October 21, 2025
2h ago
Gavana wa Kaunti ya Nandi, Stephen Sang, amesema kuwa ushirikiano unaoendelea kuimarika kati ya vyama vya UDA na ODM utaendelea hata baada ya kifo cha kinara wa chama cha ODM Raila Amolo Odinga.