Back to home

Rais Ruto aahidi kuendeleza waliyoafikia na Raila

video
C
Citizen TV (Youtube)
October 21, 2025
4h ago
Rais William Ruto aliahidi chakula cha kutosha nchini, nyongeza ya thamani kwa bidhaa zinazouzwa nje pamoja na miundo mbinu kama mustakabali wa makubaliano yake na hayati Raila Odinga. Rais akihutubia sherehe za mashujaa mwaka huu huko Kitui amesema, hii ndio njia waliyokubaliana