Back to home
Wafanyibiashara Diani walalamikia uhalifu wa vijana
video
C
Citizen TV (Youtube)October 21, 2025
3h ago
Baadhi ya wafanyibiashara katika mji wa Diani kaunti ya Kwale wamelalamikia kuhangaishwa na makundi ya vijana wahalifu wanaovamia na kuwaibia wakaazi na wafanyibiashara.