Back to home
Gavana Achani aongoza wananchi kumuenzi Raila Odinga
video
C
Citizen TV (Youtube)October 21, 2025
6h ago
Gavana wa Kwale Fatuma Achani aliongoza viongozi wa Kaunti hiyo kumuomboleza hayati Raila odinga katika sherehe za mashujaa za kaunti hiyo katika Shule ya Msingi ya Tiribe Wadi ya Mkongani huko Matuga.