Back to home
Mahakama yafutilia mbali rufaa ya kampuni ya AMU power
video
C
Citizen TV (Youtube)October 21, 2025
1d ago
Mahakama ya ardhi na mazingira mjini Malindi imefutilia mbali rufaa iliyowasilishwa na kampuni ya Amu Power kupinga uamuzi wa mwaka 2019 wa jopo la mazingira lililobatilisha kibali cha tathimi ya mazingira kuhusu mradi wa kawi ya makaa uliokuwa uanzishwe kaunti ya Lamu.