Back to home
Vijana wahimizwa kujitokeza kwa wingi kusajiliwa Kwale
video
C
Citizen TV (Youtube)October 22, 2025
1w ago
Vijana katika Kaunti ya Kwale wamehimizwa kujitokeza kwa wingi na kujisajili kuwa wapiga kura wakati zoezi hilo linaendelea nchini.





