Back to home

Wakazi wa Mwembetsungu kaunti ya Kilifi wataka fidia ya ardhi

video
C
Citizen TV (Youtube)
October 23, 2025
1w ago
Wakaazi wa Mwembetsungu eneo bunge la Kilifi South, kaunti ya Kilifi,wameandamana mapema leo wakidai fidia ya mashamba yao kutoka kwa kampuni ya usambazaji umeme nchini KETRACO.