Back to home
Wizara ya Elimu yasitisha mgao wa karo kwa shule 29, uchunguzi wabaini uhalali wao
video
C
Citizen TV (Youtube)October 29, 2025
3h ago
Wizara ya Elimu imesitisha mgao wa karo kwa shule 29 nchini. Waziri wa Elimu Migos Ogamba ameiambia kamati ya bunge la kitaifa kuhusu elimu kwamba uchunguzi bado unafanywa kubaini iwapo shule hizo zinafaa kupokea mgao kabla ya kujumuishwa tena kwenye orodha. Ogamba amejibu haya k




