Back to home
Mwili wa kijana aliyefariki kwenye mazishi ya Raila watambuliwa kuwa wa Michael Okoth kutoka Kibra
video
C
Citizen TV (Youtube)October 23, 2025
23h ago
Siku tano baada ya kufariki kwa watu kadhaa wakati wa mazishi ya marehemu hayati Raila Odinga, mwili wa kijana aliyekuwa hajatambulika hatimaye ametambulika Kama Michael Okoth Okumu, kijana wa miaka 23 kutoka mtaa wa Kibra. Uchunguzi baada ya upasuaji ukibaini kuwa Okoth alifarik




