Back to home

Harambee Starlets waandaa mazoezi ya mwisho Nyayo kabla ya mechi ya kufuzu Kombe la Afrika

video
C
Citizen TV (Youtube)
October 23, 2025
1w ago
Timu ya taifa ya wasichana ya Harambee Starlets iliandaa mazoezi ya mwisho hii leo katika uwanja wa kitaifa wa Nyayo, tayari kwa mechi ya kusaka tiketi ya kufuzu kombe la Afrika hapo kesho dhidi ya the Gambia