Back to home

Harambee Stars yajitayarisha kwa mechi ya mwisho ya kufuzu Kombe la Dunia dhidi ya Ivory Coast

video
C
Citizen TV (Youtube)
October 13, 2025
8h ago
Timu ya taifa ya kandanda Harambee Stars ilifanya mazoezi ya kwanza jijini Abidjan kabla ya mechi dhidi ya Ivory Coast hapo kesho. Hii ikiwa ni mechi ya mwisho ya kundi f ya kusaka tiketi ya kombe la dunia mwaka ujao