Back to home
Familia moja Kilifi yadai haki baada ya mpendwa wao kuawa kwa kupigwa risasi na polisi
video
C
Citizen TV (Youtube)October 24, 2025
9h ago
Familia moja katika kaunti ya Kilifi inadai haki baada ya mpendwa wao kupigwa risasi na polisi na kuawa katika purukushani kati ya wanabodaboda na polisi.



