Back to home
Walemavu wafurahia kuhusishwa na miradi ya maendeleo kaunti ya Migori
video
C
Citizen TV (Youtube)October 24, 2025
9h ago
Zaidi ya watu 100 wenye ulemavu katika Kaunti ya Migori wamepokea usaidizi wa kuimarisha biashara zao na kuboresha maisha yao kupitia usaidizi kutoka kwa shirika la Light for the World.



