Back to home

Chama cha mawakili nchini LSK chavamia afisi za mawakili bandia

video
C
Citizen TV (Youtube)
October 24, 2025
1w ago
Chama cha mawakili nchini LSK kimefunga mara moja baadhi ya afisi za mawakili mjini Malindi kaunti ya Kilifi ambazo zinadaiwa kuhudumu kinyume cha sheria.