Back to home

Mawakili wanne bandia wanaswa mjini Kisii

video
C
Citizen TV (Youtube)
October 28, 2025
3d ago
Maafisa wa polisi mjini Kisii wamewakamata mawakili wanne bandia ambao wamekuwa wakitoa huduma feki kwa maelfu ya wenyeji wa kaunti hiyo.