Back to home
Raila Odinga Junior kuchukua uongozi wa familia yake
video
C
Citizen TV (Youtube)October 24, 2025
13h ago
Raila Odinga Junior amepewa uongozi wa familia ya Raila Odinga katika hafla maalum iliyofanyika katika shamba la Opoda huko Bondo. Junior alikabidhiwa ala za uongozi ukiwemo mkuki na ngao katika hafla iliyohudhuriwa na viongozi mbali mbali. Hata hivyo, familia hiyo imebaini kuwa



