Back to home
Vijana wa Tharaka Nithi wakubali kujisajili katika Nyota
video
C
Citizen TV (Youtube)October 24, 2025
1w ago
Maelfu ya vijana katika kaunti ya Tharaka Nithi waliitikia mwito wa serikali ya kujisajili katika mpango unaodhaminiwa na serikali wa Nyota, unaolenga kuwanufaisha kibiashara. Kwa mujibu wa katibu wa uchumi samawati Betsy Njagi, ambaye alikuwa katika eneo la Chuka kwa shuguli ya





