Back to home

Zaidi ya vijana 100,000 kunufaika na mpango mpya wa kuwawezesha vijana kiuchumi

video
N
NTV Kenya (Youtube)
October 24, 2025
3h ago
Zaidi ya vijana 100,000 kutoka jijini Nairobi ni miongoni mwa wale wanatarajiwa kunufaika na mpango mpya wa kuwawezesha vijana kiuchumi na kuwa viongozi bora wa kesho barani Afrika. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans.