Back to home

Familia mbili zinalia kwa mauaji ya KPR Kaputir

video
C
Citizen TV (Youtube)
October 25, 2025
14h ago
Familia mbili katika eneo la Kaputir, huko Turkana South zinaomboleza na kudai haki baada ya jamaa zao wawili waliokuwa maafisa wa polisi wa akiba -KPR- wanadaiwa kuuwawa na wanajeshi wa KDF walioko katika kambi ya Loyapat.